MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2378; Maamuzi Mapya Kulingana Na Taarifa Mpya…
2378; Maamuzi Mapya Kulingana Na Taarifa Mpya… Watu huwa hawapendi kukubali kama wamekosea. Hivyo watu wakishaonesha msimamo fulani, wataendelea na msimamo huo hata kama utawaonesha ushahidi mkubwa kwamba hawako sahihi. Hii ndiyo maana ubishani huwa hausaidii, kwa sababu kadiri unavyombishia mtu, ndivyo unazidi kumfanya asimamie upande wake. Maana alikubaliana na