2379; Wateja Bora Wa Biashara Yako…

By | July 6, 2021
2379; Wateja Bora Wa Biashara Yako… Wateja bora kabisa wa biashara yako ni wateja ambao walishanunua kwako na wakapata kile walichotegemea kupata. Hawa ni rahisi kuwashawishi wanunue tena kuliko kuwashawishi wateja ambao hawajawahi kununua kabisa. Hivyo unapofanya biashara yoyote ile zingatia vitu hivi vitatu muhimu na ambavyo vitaiwezesha biashara kufanikiwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz