MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2382; Usiige anasa zisizo saizi yako…
2382; Usiige anasa zisizo saizi yako… Kama bado hujafikia uhuru wa kifedha, anasa yako ni moja tu, kazi. Usidanganyike na mlinganyo wa maisha na kazi. Usidanganyike na kufanya kazi kwa akili na siyo kwa nguvu. Hizo ni anasa za wale ambao tayari ‘wametoboa’. Kwako wewe huhitaji mlinganyo wa maisha na