MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2383; Furahia Kupitwa…
2383; Furahia Kupitwa… Mitandao ya kijamii imekuwa inakunasa kwenye uraibu kwa kukufanya uone kama unapitwa. Sisi binadamu tunahofia sana kupitwa na yale muhimu, maana kutokupitwa ndiyo kuliwawezesha watangulizi wetu kuepuka hatari mbalimbali na kuweza kuendeleza kizazi cha binadamu hapa duniani. Kipindi cha nyuma ilikuwa hatari sana kwa mtu kukaa na