MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2384; Sababu na visingizio…
2384; Sababu na visingizio… Kuna vitu huwa unapanga au kupenda kufanya, lakini unashindwa kukamilisha kama ulivyopanga. Huwa unatoa sababu mbalimbali kwa nini umeshindwa kufanya au kupata unachotaka. Lakini kiukweli kabisa nyingi unazotoa siyo sababu, bali ni visingizio. Sababu ni vile vikwazo au changamoto za kweli kabisa, ambazo zinamzuia kila mtu.