MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUJIDANGANYA NA KUJIFARIJI…
Sababu nyingi unazojipa za kwa nini hujaweza kufanya au kupata unachotaka siyo sababu halisi, bali ni visingizio tu. Kwa visingizio hivyo umekuwa unajidanganya na kujifariji, kitu ambacho ni kikwazo kwa mafanikio yako. Kama kuna kitu unajipa kama sababu ya kikwazo, lakini wengine wameweza kuvuka kitu hicho, basi hiyo siyo sababu,