MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2386; Kama bado unajiuliza, jibu ni hapana…
2386; Kama bado unajiuliza, jibu ni hapana… Hakuna siku unaamka asubuhi na kujiuliza kama uko hai au la, kama uko hai unajua uko hai. Vitu unavyojua kwa hakika kwenye maisha yako huwa hujiulizi ulizi kila wakati, tayari majibu unayo. Hilo lipeleke kwenye kila eneo la maisha yako, ukiona bado unajiuliza