MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuongeza mauzo kwenye biashara.
Mawazo 10 ya kuongeza mauzo kwenye biashara. Mauzo ndiyo injini ya biashara yoyote ile. Bila mauzo hakuna fedha inayoingia kwenye biashara na hapo hakuna biashara. Kila biashara inaweza kuongeza mauzo zaidi ya inavyofanya sasa, hata kama mauzo yako juu kiasi gani. Hapa ni mawazo 10 ya kuongeza mauzo kwenye biashara