MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa matunda.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa matunda. Matunda ni hitaji muhimu kwa afya ya mwanadamu. Yana vitamini muhimu kwa afya bora na kinga ya mwili. Kwa uhitaji huu mkubwa wa matunda, kunatoa fursa ya watu kuweza kuingiza kipato kupitia biashara hiyo. Hapa ni mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia matunda.