#TAFAKARI YA LEO; UWEKEZAJI SAHIHI WA MUDA…

By | July 14, 2021
Muda wako ni adimu na wa thamani sana, unapoutumia kwa kitu kimoja, maana yake huwezi kuutumia kwa kitu kingine. Lazima ujue kwa hakika wapi unawekeza muda wako na matokeo gani unakwenda kupata. Moja ya uwekezaji mbovu wa muda wako ni kujiuliza mara kwa mara iwapo una kile unachotaka, jibu ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz