MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia samaki.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia samaki. Samaki ni moja ya kitoweo muhimu kwenye maisha ya kila siku. Kwa kuwa kadiri watu watakavyoendelea kuwepo wataendelea kula, samaki ni moja ya chakula wanachohitaji. Hapa kuna mawazo kumi ya kuweza kuingiza kipato kupitia samaki. Kufuga samaki na kuwauza kwa ajili ya kula.