MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2389; Usimwamini Yeyote Bila Ya Kitu Hiki…
2389; Usimwamini Yeyote Bila Ya Kitu Hiki… Edward Deming amewahi kunukuliwa akisema; “In God we trust, all others must bring data.” Akimaanisha Mungu pekee ndiye wa kumwamini, wengine wote lazima walete data. Ni kauli rahisi hii, lakini kama ukiielewa na kuiishi, lazima utapiga hatua kubwa kwenye maisha na kile unachofanya.