MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2390; Kipi Kibaya Zaidi Kinaweza Kutokea?
2390; Kipi Kibaya Zaidi Kinaweza Kutokea? Unapoweka mipango yako, huwa unaangalia mambo yakienda vizuri tu. Kama ni biashara, unangalia upande wa faida tu. Kama ni tabia unajijengea, unaangalia manufaa yake tu. Tunapenda sana mambo yaende vizuri, lakini hilo liko nje ya uwezo wetu. Kitu pekee tunachoweza kudhibiti ni juhudi unazoweka