MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; BILA YA NAMBA…
Maendeleo na hatua zote ambazo tumepiga kama binadamu, ni kwa sababu ya mamba. Uwezo wa kupima na kulinganisha vitu umekuwa msukumo mkubwa kwetu kufanya vitu kwa utofauti mkubwa. Bila ya namba ni rahisi kujidanganya na kuamini unafanya makubwa. Lakini namba hazidanganyi, kama kitu kimefanyika kinaweza kupimika. Weka imani yako kwenye