MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa usomaji wa vitabu.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa usomaji wa vitabu. Kitu kimoja ninachoamini sana ni kwenye zama tunazoishi sasa unaweza kulipwa kwa chochote unachofanya. Miezi michache iliyopita nilinunua simu mpya, wakati naiweka kwenye chaji ukaja ujumbe, ingiza kipato kwa kuchaji simu yako. Mwanzo nilishangaa, lakini baadaye nikajiambia kipi cha kushangaa kutoka