MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2392; Unavyojitengenezea Maumivu…
2392; Unavyojitengenezea Maumivu… Sehemu kubwa ya maumivu unayopitia kwenye maisha yako, huwa unayatengeneza wewe mwenyewe. Unafanya hivyo bila ya kujua. Hapa ni baadhi ya mambo ambayo umezoea kufanya ambayo yanakuweka kwenye hatari ya kupata maumivu. Kuwa na matarajio makubwa kwenye vitu usivyokuwa na udhibiti navyo. Kulazimisha matokeo ya aina fulani.