MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2394; Siyo Kweli…
2394; Siyo Kweli… Zoezi rahisi la kufanya leo. Andika kile unachokitaka sana kwenye maisha yako lakini bado hujakipata. Kisha orodhesha sababu zote kwa nini mpaka sasa hujakipata. Mbele ya kila sababu, andika ni uongo. Halafu tafuta walioweza kupata kitu hicho wakiwa na sababu unazojipa wewe. Kama unajiambia hujaanzisha biashara kwa