MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAFANIKIO NI HATUA…
Mafanikio hayatokei kama ajali au bahati. Bali ni hatua ambazo mtu unapiga, kutoka sifuri, kwenda moja, kisha kumi, mia na kuendelea. Wengi walio sifuri huwa wanataka watoke sifuri mpaka 100, kitu ambacho hakijawahi kutokea. Unatoka sifuri mpaka moja, hapo unajifunza mengi mno. Kisha unatoka moja mpaka 10 ambapo yapo ya