MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2396; Mambo ya kufanya unapokuwa chini kabisa…
2396; Mambo ya kufanya unapokuwa chini kabisa… Safari ya maisha siyo barabara iliyonyooka. Ni njia yenye vilima, mabonde na kona nyingi. Kuna kupanda na kushuka, kwenda mbele na kurudi nyuma. Kila mtu anayapitia haya kwenye maisha kwa wakati wake na kwa viwango vinavyotofautiana. Mambo yanapokuwa mazuri, huwa tunajisahau na kudhani