MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; GIZA HALIDUMU MILELE.
Giza linapoingia, huwa hatuna wasiwasi kwamba huenda giza hilo likadumu milele. Tunajua kwa hakika kwamba kesho kutakucha, mwanga utakuna na giza kitapotea. Hivyo pia ndivyo maisha yetu yalivyo, kuna nyakati tunapitia magumu mbalimbali. Cha kushangaza huwa tunaona kama magumu hayo yatadumu maisha yetu yote. Ukweli ni hayadumu, ni kitu cha