MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2398; Usibadili Maamuzi, Badili Mikakati…
2398; Usibadili Maamuzi, Badili Mikakati… Umeamua kwamba ni sahihi kwako kuingia kwenye biashara. Ni kitu ambacho umeona kinatoka ndani yako kweli. Umeiona fursa nzuri, Na unaona ndiyo njia ya uhakika ya kuishi kusudi lako na kuzifikia ndoto zako kubwa. Unaingia kwenye biashara ukiwa na hamasa kubwa. Unaona jinsi unakwenda kufanya