MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2399; Jenga nguvu ya ushindani…
2399; Jenga nguvu ya ushindani… Kama kuna vitu viwili vinavyofanana na ambavyo vipo sehemu moja, kimoja hakina umuhimu. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye biashara. Kama kuna biashara mbili zinazofanana kwa kila kitu, moja siyo muhimu. Na kama biashara zinazofanana ni nyingi, nyingi pia zinakuwa siyo muhimu. Inakwenda hata kwenye kazi.