MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUSHINDWA KABLA YA KUANZA…
Unayashindwa maisha, kazi au biashara kabla hata hujaanza kwa sababu unawaiga wengine. Unapofanya kama wanavyofanya wengine, watu wanakuwa hawana sababu ya kuja kwako. Unakuwa umewaambia kwamba wewe huna umuhimu wowote. Njia pekee ya kushinda ni kuwa wewe, wewe ambaye ni wa kipekee, ambaye hujawahi kutokea na hutakuja kutokea tena. Weka