MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2401; Hisia, Hadithi, Mantiki…
2401; Hisia, Hadithi, Mantiki… Hivyo ni vitu vitatu tunavyotumia katika kufanya maamuzi yote kwenye maisha yetu. Huwa tunadhani tunafanya maamuzi kwa mantiki, kisha kuyajengea hadithi na kuwa na hisia nayo. Lakini sivyo tunavyofanya. Huwa tunafanya maamuzi kwa hisia kwanza, kisha tunatengeneza hadithi inayotetea maamuzi hayo na mwisho ndiyo tunatafuta mantiki