MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UGUMU WA MABADILIKO…
Kama unataka kubadili matunda ambayo mtu unazalisha, kukata matawi hakutasaidia. Unapaswa kung’oa kabisa shina la mtu huo na kupanda mti mwingine. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mabadiliko ya maisha yetu. Hutaweza kuyabadili maisha kwa kuhangaika na tabia pekee, bali anza kwa kubadili imani ya ndani yako. Tabia ulizonazo ni matokeo