MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa kipaji.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa kipaji. Kipaji ni kile kitu ambacho kwako ni kama mchezo, lakini kwa wengine ni kazi ngumu. Wewe unafanya bila kuchoka, wakati wengine wanachoka kabla hata hawajaanza kufanya. Hakuna asiye na kipaji, ila kuna wengi wasiojua vipaji vyao. Pambana ujue kipaji chako na kisha kitumie