MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NI HISIA…
Hisia zako ndizo zinahusika kwenye maamuzi yote unayofanya. Unaweza kujiambia umetumia fikra, lakini ulichofanya kwenye fikra ni kuzihalalisha hisia zako. Bila hisia ni vigumu sana kufikia maamuzi yoyote yale, maana utatumia muda mwingi kuchambua kila chaguo kililopo. Lakini kwa hisia utachagua kile unachopenda kisha kuhalalisha kwa fikra kwamba ndiyo maamuzi