MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2404; Nyenzo Muhimu Za Kujijengea Kwenye
2404; Nyenzo Muhimu Za Kujijengea Kwenye Maisha… Ni Mwanasayansi Archimedes aliyesema nipe mtarimbo mrefu na mahali pa kuuegemeza na nitaweza kuisogeza dunia. Alisema hayo kwa kujua nguvu ya nyezo, ambapo nguvu kidogo inaweza kuleta matokeo makubwa mno. Unatumia nyenzo kwenye shughuli zako za kawaida. Kung’oa msumari kwenye mbao siyo rahisi