MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NGUVU HAIPOTEI…
Kanuni ya fizikia inasema nguvu haitengenezwi wala haipotei, bali inabadilishwa kutoka mfumo mmoja kwenda mwingine. Unapokuwa na hisia kali, huwa zinachochea nguvu kubwa ndani yako, nguvu hiyo huwa haiishi yenyewe. Nguvu hiyo hukimbilia kuleta uharibifu kama haitatumika vizuri. Hivyo panga kabisa mambo utakayofanya pale hisia zinapoibua nguvu ndani yako ili