MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2505; Usitawanye Nguvu…
2405; Usitawanye Nguvu… Mwanga wa jua unapotawanyika kwenye eneo kubwa, unaishia kumulika tu. Lakini mwanga huo huo unapokusanywa eneo moja kwa kutumia lensi, unakuwa na nguvu ya kuchoma kitu na kuwasha moto kabisa. Kuwa na mwanga wajua na lensi pekee hakutoshi, inamhitaji mtu kuweza kukusanya mwanga huo eneo moja kwa