MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NYENZO…
Kwa juhudi zako pekee hutaweza kufanya makubwa. Lakini kwa kutumia nyenzo mbalimbali, juhudi zako ndogo zinakuzwa na kuzalisha matokeo makubwa. Tumia nyenzo kwenye kila eneo la maisha yako unalotaka kufanya makubwa. Mfano ukifanya kazi mwenyewe kwa masaa 10, unakuwa na hayo tu kwa siku. Ukiwa na watu 5 wanaokufanyis kazi