MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USIFANYE MAAMUZI KABLA YA KUONA HIKI…
Maamuzi mengi unayofanya kwenye maisha yako yanakuwa siyo sahihi kwa sababu unayafanya kwa kuangalia vitu kwa nje pekee. Usiwe mtu wa kufanya maamuzi kabla hujaangalia kitu kwa ndani, maana kwa kufanya hivyo ndiyo unaujua ukweli wenyewe. Kwa kuangalia kwa nje huoni ukweli ambao upo ndani. Kwa nje kila kitu ni