MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2408; Kila kitu ni rasilimali…
2408; Kila kitu ni rasilimali… Moto mkali unapokuwa unawaka, chochote kitakachowekwa kwenye moto huo hugeuka kuwa nishati ya kuuchochea zaidi. Hata ukimwaga maji kwenye moto ambao ni mkali, unakuwa kama ni mafuta, yanachochea zaidi moto huo. Hivyo ndivyo unapaswa kuyafanya maisha yako kuwa, tumia kila unachopitia au kukutana nacho kama