MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAJARIBU YANAPIMA MSIMAMO…
Majaribu huwa yanapima msimamo ambao mtu anao kwenye jambo lolote lile. Ambao hawajawahi kupitia majaribu makubwa kwenye kitu, wanaweza kudhani wana msimamo, kumbe siyo. Huwa tunawashangaa watu kwamba wamebadili msimamo wao, kwamba awali walikuwa na msimamo fulani, ila baada ya kupata fursa fulani wakabadilika. Hao hawakuwa na msimamo, ila tu