MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2409; Mwanzo wa mwisho na mwisho wa mwanzo…
2409; Mwanzo wa mwisho na mwisho wa mwanzo… Rafiki, Nataka kusema na wewe leo kuhusu kuanza. Huwa kuna kauli ya Kiswahili inayosema mwanzo ni mgumu. Lakini kwenye safari ya mafanikio hakuna kitu rahisi kama kuanza. Najua ulishaanza mambo mengi mno, lakini hukuyafanya kwa muda mrefu. Ni pale ulipokutana na ugumu