MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; RASILIMALI TAYARI UNAZO…
Hakuna ambaye hana rasilimali muhimu anazohitaji ili kufanikiwa. Kila siku tunakutana na rasilimali ambazo tukizitumia vizuri tutapata matokeo bora sana. Kila magumu, changamoto na majanga unayokutana nayo ni rasilimali. Kila unayekutana naye ni rasilimali. Na kila unachojifunza ni rasilimali. Usijiambie huna rasilimali, bali jiulize umezitumiaje mpaka sasa hizo ambazo tayari