MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2410; Hupati Muda…
2410; Hupati Muda… Kama unajiambia ukipata muda utafanya kitu, jua ni njia tu ya kujifanganya. Ukweli unaopaswa kujiambia ni kitu hicho siyo muhimu sana kwako na hivyo hakipaswi kuwa kipaumbele cha kwanza kwako. Maana kitu kinapokuwa muhimu kabisa huwa hatusubiri mpaka tupate muda, badala yake tunatenga muda. Hivyo acha kujidanganya,