MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; WABOBEZI WA KUANZA…
Watu wengi kwenye maisha huwa ni waanzaji wazuri wa mambo, ila huwa hawaendi mbali. Huwa hawana ung’ang’anizi kwenye kile wanachoanza mpaka wafike mwisho wake na kuona matokeo yake. Badala yake huwa wanakimbilia kuacha pale wanapokutana na ugumu au changamoto. Kama unayataka mafanikio makubwa, ondoka mara moja kwenye kundi hilo. Usiwe