2411; Usiige Matumizi…

By | August 7, 2021
2411; Usiige Matumizi… Hakuna kitu rahisi kuiga kwa watu kama matumizi. Hicho ndiyo tunaona kwa nje na kujilinganisha nao kisha kukimbilia kuiga. Unapaswa kujua kitu chochote unachonunua kinapaswa kutokana na mahitaji yako kweli na siyo kwa sababu umeona wengine wanacho. Wala usinunue kitu kwa sababu unataka wengine wakuone na wewe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz