MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KILA MTU ANA MUDA…
Kila mmoja wetu ana masaa 24 pekee kwenye siku yake, hakuna mwenye uwezo wa kuongeza hata sekunde moja kwenye siku yake. Ni katika masaa hayo hayo ndiyo kila mtu anayatumia kufanya yale muhimu kwake. Kama hupati muda wa kufanya kitu, siyo kwa sababu muda haupo, bali kwa sababu hujakipa kitu