#TAFAKARI YA LEO; IGA HIKI…

By | August 8, 2021
Hufanani na wengine kwa chochote kile, hivyo mengi unayoiga kwao yanakupoteza kwa sababu hayaendani na wewe. Ila kuna kitu kimoja ambacho ukikiiga kwa wengine kinakuwa na manufaa makubwa sana kwako. Kitu hicho ni nidhamu. Kwa kila unayemuona amepiga hatua kuliko wewe, jua ni nidhamu zipi zimemwezesha kupiga hatua hizo, kisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz