MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UFUJAJI NI KIKWAZO…
Kutumia hovyo rasilimali ambazo zina uhaba mkubwa ni kikwazo kwako kuweza kupiga hatua na kufanikiwa. Kwa rasilimali hizo muhimu, unahitaji ubahili na ufanisi. Ubahili katika kutumia ili zitoshe na ufanisi katika kutumia ili zilete matokeo makubwa. Rasilimali ulizonazo tayari zinakutosha kupiga hatua kubwa, kama unaona hazitoshi ni kwa sababu huna