MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAISHA HAYASIMAMI…
Maisha huwa hayasimami, mara zote yanaenda mbele. Na wewe pia hupaswi kusimama, mara zote nenda mbele. Iwe utaruka, kukimbia, kutembea au kutambaa, wewe songa mbele. Hiyo ndiyo njia pekee ya kujisogeza karibu na kile unachotaka. Pambana usonge mbele, kila siku jifunze na fanya kitu kipya ambacho hujawahi kufanya huko nyuma.