MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2416; Kuanzia chini ni kazi kubwa…
2416; Kuanzia chini ni kazi kubwa… Mimi siyo mfuatiliaji wa michezo kabisa, lakini kama ambavyo nimekuwa nasema, kuna mambo utayasikia tu hata kama siyo mfuatiliaji wa habari. Siku za hivi karibuni kumekuwa na mivutano kwenye timu kubwa za mpira Tanzania, hasa timu ya Simba ambapo kuna migogoro mbalimbali ya ndani.