MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; CHANGAMOTO YA MOTISHA…
Unaweza kutoa motisha kwa nia njema kabisa, ili kuwasukuma watu wafanye kile unachotaka wafanye. Maana binadamu kwa asili ni wavivu na wazembe, bila motosha ni vigumu sana kufanya kitu. Lakini pia binadamu ni wajanja, wanaweza kuuchezea mfumo wowote ule ili waweze kujinufaisha zaidi. Hivyo kama unatoa zawadi, wanatafuta njia ya