MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2417; Maamuzi ya kufa na kupona…
2417; Maamuzi ya kufa na kupona… Kuna maamuzi machache sana ambayo ukiyafanya kwenye biashara ni ya kufa na kupona. Kwa maana kwamba kuna hatari ya biashara kufa kabisa. Lakini maamuzi hayo ni machache mno. Maamuzi mengine mengi, pamoja na ugumu na umuhimu wake, yanaweza kurekebishika tu. Funzo ni nini hapa?