MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TATIZO UNAHANGAIKA NA VITU RAHISI…
Ukisikia tu kuna kitu rahisi na kinakipa sana, mbio unakimbilia kukifanya. Kwa kuwa wengi wanapenda urahisi, mnajikuta wengi mpo kwenye kitu hicho, ushindani unakuwa mkali na wengi hamnufaiki. Mnasikilizia tena wapi ni rahisi, na kupakimbilia. Miaka inaenda unashangaa hupigi hatua kubwa. Unajiona labda una bahati mbaya, lakini tatizo ni moja,