MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUKOSEA NI MWANZO WA KUJIFUNZA…
Huwa hatupendi kukosea kwa sababu tunachukulia kukosea ni kutokujua na kushindwa. Lakini kukosea ndiyo mwanzo mzuri wa kujifunza. Unapokosea unakuwa na fursa ya kujifunza kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi kisha kuchukua hatua zilizo sahihi. Usiache kufanya maamuzi au kuchukua hatua kwa sababu unaogopa kukosea, kukosea ndiyo mwanzo wa kujifunza,