MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2419; Kwa nini ukweli ni mgumu kufikiwa…
2419; Kwa nini ukweli ni mgumu kufikiwa… Ni vigumu kuufikia ukweli kwa sababu huwa haubembelezi. Ukweli hauangalii mtu anataka kusikia au kuona nini, unabaki kuwa ukweli. Ukweli hauna mbwe mbwe wala kelele, unasimama kwenye eneo sahihi. Sisi binadamu tunapenda mbwembwe nyingi, tunapenda vitu vinavyotusisimua. Hivyo tunahangaika na yale yasiyo kweli