MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TATIZO NI KIPAUMBELE…
Kama kuna kitu unafanya na hufanikiwi, ila unaona wengine wanafanya kitu hicho hicho na wanafanikiwa, mnatofautiana kwenye vipaumbele. Wale wanaofanikiwa kwenye kitu hicho wanakuwa wamekipa kipaumbele cha kwanza, kwa sababu wameyafanya maisha yao kukitegemea kitu hicho. Wewe ambaye hufanikiwi kwenye kitu hicho hujakipa kipaumbele cha kwanza, kwa kuwa maisha yako